Ikulu imepamba moto kwa kufuturisha!

Ikulu imepamba moto kwa kufuturisha!

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,242
Reaction score
1,430
Title yahusika nlishangazwa na masista jana na kufuturu walifunga nini? Kesho kuna msomali alshabab naye atafuturishwa ikulu yetu ,imegeuka restaurant!na bajeti ni ipi hiyo!

Lini na wananchi wa kawaida nao wanakaribishwa?!

Ikulu yetu imegeuzwa sehemu ya kupigia deal za Kikwete na wenzake, Imegeuzwa restaurant na soon Soko la Samaki litahamishiwa ikulu.

Rais aliyechaguliwa kirahis akachuja kirahisi

Title yahusika nlishangazwa na masista jana na kufuturu walifunga nini? Kesho kuna msomali alshabab naye atafuturishwa ikulu yetu ,imegeuka restaurant!na bajeti ni ipi hiyo!

wale masista sio kwamba wao ndio walienda kufuturu bali walienda kama walezi kwani lengo kuu lilikuwa ni kufuturisha yatima.

Ikulu Imegezwa Danguro au Kijiwe cha Salamanda, Kikwete, Riz1 na Mafisadi wengine wamefanyia uwanja wa kutuibia Rasilimali zetu

wale masista sio kwamba wao ndio walienda kufuturu bali walienda kama walezi kwani lengo kuu lilikuwa ni kufuturisha yatima.

i get you!

Jamani tutume maombi na sie jpili tukasalie Ikulu.

Back
Top Bottom