IKULU, DAR: Rais Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu, Balozi na Wakuu wa Mikoa aliowateua jana

Yeye anajiweka live, ila hataki Wabunge tuwaone live. Mzee selfish huyu jamani sijapata kuona. Ila nyie Wabunge hebu rudisheni bunge live why Yeye kila anachofanya anajiweka live ?
Usishangae sana mama, huyu ni rais wa ajabu kuwahi kutokea katika Tanzania hii
 
Back
Top Bottom