Ni leo tarehe 06/12/2018 . Bosi huyo wa Zamani na swahiba mkubwa wa Lowassa apongeza Miradi mikubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya tano. Abson ametoa wito kwa Wananchi kuipa ushirikiano Serikali ya JPM
View attachment 958041
Kwa hiyo alienda kumpigia magoti kuhusu nini hebu tuambieKwa bwana john kila goti litapigwa.
Mwaka huu lazima mchanganyikiwe JPM siyo wa kispotiJiwe akutana na mbowe Ikulu jijini dar es salaam, mh jiwe amempongeza mbowe kwa kuwa mvumilivu na majanga yaliyotokea hata wakati wa kukaa gerezani.
Mh jiwe amemuhakikishia mbowe kuwa ya zamani si ndwele tugange yajayo na atampa ushirikiano wote kuhakikisha chadema kinakua chamankikuu cha upinzani
Kila goti la wana lumumba litapigwa.Kwa bwana john kila goti litapigwa.
Nani kamwambia watu hawampi ushirikiano? Je na yeye anatoa ushirikiano kwa wenzake? Tuanzie hapo kwanza.Abson ametoa wito kwa Wananchi kuipa ushirikiano Serikali ya JPM
Labda kwa kulazimishwa, anzeni na membe afuatie mwandosya, wakipiga magoti hao ndiyo na mbuzi wote watampigia magotiKwa bwana john kila goti litapigwa.
Kwa bwana john kila goti litapigwa.
JinyongeNonesense