Iko wapi timu ya ushindi ya Magufuli?

Iko wapi timu ya ushindi ya Magufuli?

Wasaga

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
18
Reaction score
51
Wapi Makongoro Nyerere, Samwel Sitta, Harrison Mwakyembe, Asha Rose Migiro, Sofia Simba, Sofia Simba, Vuai Ali Vuai, Nape Nauye, Amina Makilagi, Lazaro Nyalandu, Ummy Mwalimu, Livingstone Lusinde, Bernard Membe, Pindi Chana, Stephen Masele, Maua Daftari, Shamsi Vuai Nahodha, na wengineo?

Mbona siwasikii?
 
Nadhani bado wanajipanga vyema kuja kutuletea sera kemkem za nini watatufanyia.
 
Mchana wapo CCM usiku wapo UKAWA........
Kifupi wamesambaratika... hawaaminiani tenaaa
 
Hiyo timu ilishashindwa kabla haijaanza, na sababu kubwa ni makundi ndani ya chama na Ubabe wa Magaufuli mwenyewe. Magufuli hana rafiki ndani ya CCM na bahati mbaya kwake, yeye mwenyewe amekuwa ni tatizo, ukisikiliza hotuba zake za kampeni yaani anaonyesha viongozi waliopita wa CCM hawajafanya kitu chochote, anakichongea chama chake kwa wananchi.

Anachoongea yeye na matakwa ya viongozi ni tofauti. Inahitaji mtu kama mwenye roho ngumu kama J.Makamba kuweza kufanya kazi na mzee wa Push-Up. Hiyo kamati ya ushindi ilishakaa pembeni ck nyingi!!!
 
Subiri utajua kazi waliokuwa wakiifanya na walikuwa wapi baada ya october 25 utajua

teh teh usiniambie watakua wanawanga, eeh sasa tuseme nini wakati mchana hatuoni wanachofanya? LOWASSA NDIO BABA LAO TU.
VIVA UKAWA!!!!
 
They know what is happening. hawataki kuendelea kupata aibu
 
Utakaposikia baada ya uchaguzi viongozi wa kikundi cha UKAWA wanalalamika wakisema wameibiwa kura ndiyo utapata majibu ya swali yako.

CCM hatufanyi siasa za kupiga kelele.

Uchaguzi ni sayansi katika kupata matokeo chanya.

Baada ya uchaguzi utafahamu maana ya comment yangu.

Watu wa aina yako mnalinganisha kampeni za kikundi cha UKAWA na CCM.

Viongozi wote wakuu wa kikundi cha UKAWA na genge la Lowassa wanakusanyika katika jukwaa moja kwa kila siku.
 
Hiyo timu ilishashindwa kabla haijaanza, na sababu kubwa ni makundi ndani ya chama na Ubabe wa Magaufuli mwenyewe. Magufuli hana rafiki ndani ya CCM na bahati mbaya kwake, yeye mwenyewe amekuwa ni tatizo, ukisikiliza hotuba zake za kampeni yaani anaonyesha viongozi waliopita wa CCM hawajafanya kitu chochote, anakichongea chama chake kwa wananchi.

Anachoongea yeye na matakwa ya viongozi ni tofauti. Inahitaji mtu kama mwenye roho ngumu kama J.Makamba kuweza kufanya kazi na mzee wa Push-Up. Hiyo kamati ya ushindi ilishakaa pembeni ck nyingi!!!
Mkuu nakushauri kwa nia njema urudi tena hapa jamvini tarehe 28/29 mwezi huu ili tufanye postmortem kuhusu kilicho wasibu CHADEMA,vyama vingine vya upinzani vitabaki salama lakini CHADEMA watashikana mashati kumtafuta aliye waingiza mkenge (mpiga deal mahili - also a gifted ORATOR) pamoja na majigambo yao yote yataishia sakafuni,kama CHAMA kitabaki salama yeye ataondolewa unceremoniously kwenye chama.
 
Back
Top Bottom