Iko wapi timu ya ushindi ya Magufuli?

Iko wapi timu ya ushindi ya Magufuli?

Nilichogundua kwenye uzi huu ni kwamba
Mwanadiwani unajaribu kujibu mashambulizi kwa jazba ktk kila post

Umesahau kitu kimoja tu.
SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU

wakati binadamu tunapanga mipango yetu
Mwenyezi mungu huwa na mipango yake ndani ya mipango yetu.
 
Nilichogundua kwenye uzi huu ni kwamba
Mwanadiwani unajaribu kujibu mashambulizi kwa jazba ktk kila post

Umesahau kitu kimoja tu.
SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU

wakati binadamu tunapanga mipango yetu
Mwenyezi mungu huwa na mipango yake ndani ya mipango yetu.

Aliyekudanganya nani? Kumbe ndio sabbu mnafata mkumbo bila kujielewa, utambue hivi sasa ibilisi/shetani anao wafuasi wengi wanaomshabikia kuliko wale wanaoijua kweli.
Acheni kumhusisha Mwenyezi MUNGU na hizi siasa zenu za kipuuzi.
 
Back
Top Bottom