Iko wapi sukari iliyoagizwa serikali?

Ngoja mimi niende kwenye barabara za mwendo kasi labda nitapata jamaa mwenye gari kaingilia barabara ya mwendo kasi nimkamate nijipatie matairi nikayauze jioni nipoze koo
 
Meli zilizosheni sukari zimechukuliwa na UFOs huko kina kirefu maeneo ya Barmuda Trianle, na kwa sasa tunaangaikia fidia kuweni na subira kidogo. Zidumu Fikra za Mwenyekiti.
 
Sukari ipo nyingi sana hapo swaziland...nadhani wana kiwanda kikubwa huku kusini South Africa wanategemea kutoka hapo serikali iseme tuu anaeweza alete bila kubagua kutoa vibali kwa rushwa ya wachache kama sukari haitauzwa tsh 1500 kwa kilo hapo...
 
Na bado, kuna waziri nani huyu sijui nae katia mkwara kuzuia nguo za nje kuanzia January mwakani. Najenga picha itakuwaje ikiwa upungufu wa nguo utaanza pia.... #SerikaliYaMwendokasi.
Kwahiyo ukikutwa umevaa nguo ya mtumba sijui utapewa adhabu gani. Nawaza tu...
 
mtaaani ninako ishi baada ya zile kauli za mkuu wa kaya kua sukari itayokamatwa ikiwa mafichoni kugawiwa bure wazee walishangilia mnooo na kujipanga kupata mgao wao wa sukari kwani mkuu kasema itagawiwa bureeee,leo napokutana nao hawa wazee nikiwauliza wamepata kilo ngapi za sukari naambulia matusi ya nguoni.viongozi wanaamini kua raia hawatunzi kumbukumbu za kila wanacho ambiwa ndio maana viongozi hukurupuka tuuu na matamkoo yasiyo tekelezeka.
 
Msiwe na haraka sukari iliyoagizwa imeshawasili kwa vile serekali ya awamu hii (mwendokasi) inawajali sana wananchi wake hasa masikini tumeamua tuwapikie chai kabisa so tumeagiza majani ya chai toka Pakistan. Andaeni vikombe kabisa majani yakija mtakunywa chai
 
Duh huyo Baba Jesca alitoa kauli kukurupuka sana yaani ukamate gari limevunja sheria utoe matairi kwa sheria ipi?
Ngoja mimi niende kwenye barabara za mwendo kasi labda nitapata jamaa mwenye gari kaingilia barabara ya mwendo kasi nimkamate nijipatie matairi nikayauze jioni nipoze koo
 
Duh huyo Baba Jesca alitoa kauli kukurupuka sana yaani ukamate gari limevunja sheria utoe matairi kwa sheria ipi?
Ngoja mimi niende kwenye barabara za mwendo kasi labda nitapata jamaa mwenye gari kaingilia barabara ya mwendo kasi nimkamate nijipatie matairi nikayauze jioni nipoze koo
 
Angalie wasikutandike vibao hao kama namba wanaisoma kiukweli
 
Nim
Nimeishia kucheka chai inaagizwa Pakistan
 
Hii awamu ina mambo yasiyoeleweka mnooo,na kwa nini waagize sukari kutoka nchi za mbali?,Rwanda wananunua sukari Mazabuka Zambia na Dwangwa Malawi,Ndiyo tenda anayofanya GSM GALCO,kuchukua sukari Zambia na Malawi na kuipeleka Rwanda,kwa nini serikali yetu isinunue sukari hapa jirani kama wenzetu,ambako ndani ya siku kumi gari zinakua zimekwenda na kurudi!!!!.
 
Tunafanya mazungumzo nyeti na babu wa loliondo aigeuze uvinza iwe kiwanda cha sukari... Enyi wadanganyika msifadhaike sukari mtagawiwa bureeeeeee
 
Tunafanya mazungumzo nyeti na babu wa loliondo aigeuze uvinza iwe kiwanda cha sukari... Enyi wadanganyika msifadhaike sukari mtagawiwa bureeeeeee
Babu wa loliondo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…