Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Elimu mwisho ilikua 2004.
Baada ya hapo ni drama tu.
Well said [emoji419][emoji419][emoji419]
Elimu mwisho ilikua 2004.
Baada ya hapo ni drama tu.
""Hujakalili" ndio kitu ganiKiswahili Darasa la 6, 1989 kama hujakalili Brown ashika tama! Utacheki picha.
Elimu ambayo ukiwa class tree unakuwa una uwezo mkubwa wa kuandika maneno kupitia dictation? iko wapi elimu ya uandishi wa insha mtoto anamaliza class seven ana uwezo mkubwa wa kutunga story za kusisimua kupitia Insha.
Sina tatizo na elimu ya nyuma uko yaani sijawataja kwa sababu ndio wameshababisha ufisadi wa kutisha serikalini, wale waliosoma miaka ya 1940-1989 wanajua ni jins gani wamesababisha hasara kwa taifa letu.
Tuliosoma 1990-2005 wenge wako sector binafsi na waliopo serikalini hawajapata nafasi ya kulitumikia taifa ipasavyo lakini wengi tumefanya mapinduzi makubwa kwenye sector binafsi niko tayari kukosolewa ila naamini watu waliosoma kipindi iki wengi ndio wana uwezo mkubwa wa kuhoji mambo mengi.
Nani kazika elimu yetu? nini tatizo je walimu wanaandaliwa ipasavyo kama zamani? je wanafunzi ndio tatizo? nahitaji mjadala wa kitaifa.
Uko sahihi kabisaTuliosoma 1990-2005 wenge wako sector binafsi na waliopo serikalini hawajapata nafasi ya kulitumikia taifa ipasavyo lakini wengi tumefanya mapinduzi makubwa kwenye sector binafsi niko tayari kukosolewa ila naamini watu waliosoma kipindi iki wengi ndio wana uwezo
Waliosomea hiyo mifumo iliyopita wanadai mizuri ndo wengi wameshikilia uskani wa kubadilisha mitaala kila sikuKwani Mitaala ya 2006 -- 2020 aliitengeneza aliyezaliwa 2015?!!