Tumewaachia team Lowassa, ninyi ndio kila kitu.Yaani pumba tupu ...hao uliowataja wote ni wagombea ubunge na wana kazi maalumu ya kuzunguka na chopa kwenye msjimbo kadhaa kumnadi mgombea urais hata ratiba ya chama hamuijui then mnaajiita chadema......hamjalazimishwa c muondokee
Siioni kabisa, ile Chadema iliyoenda kupiga kambi Kanda ya pwani zaidi ya wiki moja.
Ile Chadema iliyosambaa Kanda zote kuelemisha Wananchi kuhusu Ufisadi na maovu ya ccm kwa ujumla.
Tukutane October 25
Lowasa hawezi geuka maana sio mwenyekiti wa chama. Hakigeuka tunamvua uanachama. Kama alivyofanyiwa aboud jumbe pale chimwaga.
Kifupi kama nchi tumepoteana, hatuhoji wala kujenga hoja tena ila ni mwendo wa ushabiki tu.!
Wengi hawana vyama, wanategemea nchi hii kuishi hawana pa kukimbilia.Mtoto huzaliwa, hukua na hatimaye huwa mtu mzima akaoa au akaolewa na huzeeka na kurejea kwa muumba. Kila kitu hupitia hatua hizo. Haishangazi na chichiemu imezeeka na inakaribia kuaga dunia.
Hiyo CHADEMA unayoizungumzia, ilikuwa ni hatua ya makuzi - ilikuwa ni CDM ya uanahakati ambao ndio umwatoka wabongo (malofa na wapumbavu) usingizini na ushahidi unauona mwenyewe. Sasa CDM haiwezi kuendelea kuwa movement ya uanaharakati. Imefikia hatua ya kuchuku dola ili yale iliyokuwa ikiyafanyia uanaharakati yawe katika vitendo. Lakini hiyo si kazi ya lelemama. Mbinu muhimu ni kuangalia hali halisi na kutenda kwa mujibu wa hali hiyo (waingereza wanaiita pragmatism). Hali halisi iliyopo ili kuteketeza kizee king'ang'anizi (hata kama hakiwezi tena kazi) ni hicho ambacho CDM imekifanya. Kwa bahati mbaya bado tunao watu wengi sana, wazee (mfano Dr Slaa) na vijana (wanaodai kuwa wafuasi wake) ambao welewa wao wa dunia na praticial politics ni wa chini sana. Bado wanataka CDM iendelee na unaharakati (maandamano, wabunge kususia vikao, kusindikiza CCM katika chaguzi, nk). Hichi kipindi kimekwisha na haturudi nyuma - ni mabadiliko tu kwa gharama yo yote ile. CHAGUA MABADILIKO, CHAGUA UKAWA, CHAGUA LOWASSA🙂
Tumewaachia team Lowassa, ninyi ndio kila kitu.
Lowasa hawezi geuka maana sio mwenyekiti wa chama. Hakigeuka tunamvua uanachama. Kama alivyofanyiwa aboud jumbe pale chimwaga.
Sijui tumekumbwa na nini ..... Lowasa ambaye juzi tu aliapa kutotoka CCM pamoja na historia yake anaaminiwa kuliko Dr Slaa .....tumechanganyikiwa .....
Mkuu uko sahihi, Je unaamini Chadema na ukawa ya sasa inaweza kutupeleka ikulu?Hiyo Chadema ipo Mkuu! Tumejikita kwenye agenda ya Mabadiliko kwa sasa Na tumegundua ndio inatupeleka Ikulu! Hizo nyingine zimekijenga Chama sasa tupo Na ya kutupeleka kuchukua serikali!
Usiwe na akili za Nyumbu kiasi hicho na usiwe mvivu wa kusoma, unaweza kurejea post zangu toka najiunga jf na hakuna hata moja iliyofutwa ukaangalia msimamo wangu ni upi toka awali.hivi inakuwaje mwana CCM kuleta nyuzi za UKAWA/CHADEMA ? mkifutwa kazi je kila siku hili mara lile mbaya zaidi hamjibiwi hamjioni kwamba hzo propaganda za kale?
Hivi wewe idawa umeona leo ndiyo mada yako ya kufunga nayo week hii? Pole sana kwa mawazo yako finyu sana ya kisiasa..........nakuhakikishia ya kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo kipo imara zaidi ya ujuavyo na utajionea mwenyewe 25/10 Mungu akitujalia!
Mkuu uko sahihi, Je unaamini Chadema na ukawa ya sasa inaweza kutupeleka ikulu?