Ikiwa ni wewe utafanyaje?

Ikiwa ni wewe utafanyaje?

Exactly. . . . .

hapo mwanaume lazima nisimamie show hiyo..unamsalimia na tuvibao tuliwi tutatu..zen namwambia atangulie nyumbani akaandae maelezo..mi naendelea na sherehe

Nilikuwa natafuta jibu zuri la kumpa naona hili linafaa!
 
ni ujanja tu. Ntamwambia huyu(mchepuko wangu) ni mtu aliyenileta ili nikufumanie, then kinachofuata hapo lazima FFU waje
 
ugomv hakuna but me ntauchuna kama c mjui afu nyumban kaidaaaa! ili2one ataxemaje.
 
Back
Top Bottom