GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,705
- 128,214
Hili ni muhimu sana. Naomba kuuliza na pia kupata maujanja hivi ikitokea wewe na msichana wako au mkeo wote mmechepuka na bila kujua wakati wa mnaandikisha majina pale mapokezi ghafla wote mkakutana kila mmoja akiwa na mchepuko wake. Je:
Karibuni tujadili wanajamvi wote na majibu yenu ni ya muhimu mno na sana
- Mtasalimiana?
- Mtakinukisha au kuchenjiana?
- Nani atakuwa na wivu na uchungu zaidi?
- Ratiba ya kugegedana itaendelea au mchezo ndiyo utakuwa umeishia pale pale?
- Mkirudi kwenu maisha yataendeleaje?
Karibuni tujadili wanajamvi wote na majibu yenu ni ya muhimu mno na sana