Ikiwa ni kweli serikali inafanya hivi, ni hatari kwa uchumi

ryan riz

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
422
675
Kumekuwa na habari au tuseme uvumi mwingi mitaani kwamba miradi mingi ya biashara au ujenzi kusimamishwa au kuwekewa vikwanzo..sababu hasa ikiwa wahusika walijihusisha na siasa za kusaidia upinzani...Hii kwangu kama ni kweli naona serikali au watawala wanakosea sana...maana hawakafikiria wanapoteza ajira ngapi?wanapoteza kodi na pia maendeleo ya miji..nachoomba kama kweli haya mambo yapo watawala jiangalieni..
 
Back
Top Bottom