Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,832
- Thread starter
- #81
niite utakavyo gentleman,Nimekuweka kwenye kundi la Wajinga kwa sababu unatetea upuuzi.Ina maana kila mtu anayegombea kwa tiketi ya chama kingine cha siasa hajui kusoma na kuandika vizuri???Siyo Raia wa nchi hii???Ni criminal?? Acha ujinga wewe.Rejea yaliyotendeka 2019 ndiyo uje na majibu sahihi.
lakini ukweli huo uende ukamueleze hata mwenyekiti wa chama chako, kwamba haiwezekani.
muhamasishe watu wasijiandikishe kwaajili ya kupiga kura, halafu kwenye uteuzi mnaleta watu wasio na sifa za kua viongozi,
nikuhakikishie tu,
hayupo mgombea asie na sifa ataruhusiwa kugombea uongozi humu nchini, wa ngazi zote
