Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,832
- Thread starter
- #41
kuhusu hayo malalamiko yako binafsi,Kama wewe unapenda na kujua mijadaa muhimu . Tuanze na ule wa katiba ya ccm iliyokiukwa pale dodoma. Kisha turejee haya mengine.
Vinginevyo huna lolote zaidi ya uchawa. Unawaita watu VIBAKA wakati vibaka unao hapo lumumba?
Vipi katiba ya ccm ikiukwe bila kujadili.
mtu muungwana anaandikia uzi mahususi ili hatimae wadau wajadili na sio kujificha kwenye hoja nyingine mezani.
hata hivyo,
vibaka na matapeli wa kisiasa nchini wamepanga ratiba ya kwenda kuwatapeli pesa wananchi maskini huko mikoani kwa tone tone, Lakini pia wanaenda eti kujaribu kuwadhulumu fikra na kuwarubuni uhuru na haki za kikatiba za wananchi kushiriki kupiga kura.
Hao sio matapeli?🐒