[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ila twin aliyekubadilisha siku hizi apewe tu zawadi aisee..mawazo yako yameboreka mara 4 zaidi[emoji12] [emoji12].
Yaani acha kabisa, ila haya ya kupimiana ndio unaiona jehanamu ndogo.Zaid ya nguvu hata mkikosana
Hamtamaliza 6hours bila kumaliza
Tofaut zenu
Mapenz n matam mahali
Penye true love ya moyon
Same asee nilimpendaga huyo mduu akaniambiaga hzo words asee niliwish ardhi ipasuke niingie but nashukuru JAH nipo nafuraha na manzi wangu.It happened enzi hzo kijana na u boifrend na u gelofrend nilichoamua nkamuacha kama alivyo i gave her space
Maana nlijua the harder a try to bring her back the more a push her away
After sometimes akaanza kunimiss tena maisha yakaendelea
Yah sometimes giving each other ni healing nzur kama kwel mnania ya kuokoa uhusiano wenu unapata nafas ya kujua wapi unakosea and what is the best your missing from each other.Same asee nilimpendaga huyo mduu akaniambiaga hzo words asee niliwish ardhi ipasuke niingie but nashukuru JAH nipo nafuraha na manzi wangu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Uwiii twin, ni kujitoa ufahamu tu unadhani huwa nipo serious sana basiii!! Nawatoaga watu nyongo tu.
Nimekumiss sanaa, nani anakuficha twin wangu?
Acha kabsa yakupimianaYaani acha kabisa, ila haya ya kupimiana ndio unaiona jehanamu ndogo.
Sijui inakuwaje tunapishana!!Yaani wewe..haya tu.
Nimekumiss zaidi twin, sijafichwa nipo humu humu majukwaani sema hatuonani tu.
For sure, yakikukuta utasimulia hadi wajukuu.Acha kabsa yakupimiana
Hayw n moto wa kuotea
Mbali n.kuomba tu
Yaskukute
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]For sure, yakikukuta utasimulia hadi wajukuu.
Ukiona hivyo ujue mapenzi yao yalikuwa bonded by money.Na tutaona mengi huko tuendako.Rate ya thread za kuachana achana imeongezeka sana mwaka huu sijui kwa nini!
Sijui inakuwaje tunapishana!!
Love mingi pacha.
For sure twin.Itabid tutafute namna tusipoteane hivi lol.
Love right back twin
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kitambo usimulie wajukuu
Utakua umejiulza maswali
100 kidogo wap ulitoka nae
Au shetan gani alikutanisha nae
Mpendwa unasema hivyo kwakuwa wewe ni mwanaume, ila kama mwanamke naweza sema kuwa wengi wao ni wanaume!!Wengi wao ni wanawake huwa na tabia hizo bt .ni kushukulu mungu ila tu uwe na maamuz coz anaweza akalud tena na kusema alkuwa anakupima tu
Apn sina maana hiyo.. Kiuhalisia wanawake huwa ni chanzo ..Mpendwa unasema hivyo kwakuwa wewe ni mwanaume, ila kama mwanamke naweza sema kuwa wengi wao ni wanaume!!
Mmmmh!! Maybe!Apn sina maana hiyo.. Kiuhalisia wanawake huwa ni chanzo ..
Afadhali athaminike bhas[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mbona shetani!! Ila wengine hupitia katika maisha yetu ili kuwa kama funzo na kutuimarisha kujua thamani ya yule akupendae.
Hv labda nikuulz kwann wanawake hupenda kushare boy mmoja at km akijua ni Shem wake??Mmmmh!! Maybe!