Malezi na mazingira pia yanachangia.Mkuu acha tu ..unaweza hata kwenda baharini usiku ukakaa tu
Hizo feelings zikiisha badae anakuambia sina feelings na wewe sababu huna gari...ama hunisaidii shida zangu ...ama matiti yako yamelala sio kama.zamani...ulikua portable saiv umenenepa sina feelings na wewe ..Always love is feelings and not commitment, you can't commit to love someone kama moyo wako hujafeel na kuridhia, siku zote moyo ndo huamua, huwezi kupanga bila moyo kukubali.
Haha hapo umeshachanginykiwa hujui tena hayo mkuu ..ni kipind flan kigumu kama Mungu hakuongozi unaweza ku end up sehem mbayaMalezi na mazingira pia yanachangia.
Mfano kwa malezi niliyokulia nimeanza kuona watu wakililia mapenzi nikiwa mdogo sana, zile ishu zimenipa matarajio ya nini cha kutarajia katika mahusiano. Hii pia imeathiri namna ninavyomuapproach mwenza.
Ninaweza nikakaa muda mkubwa sana nikiwa nafanya vipimo vya niende au nisiende, along the way nishakosa wenza kisa huu mtindo.
Pia usipende kwenda baharini usiku kuna askari.
Niwe mkwel toka nmekufahamu kwa mara ya kwanza umeongea point mnooo sjawah kuona busara kama hii mkwe embu unachokunywa agiza mara tatu yake na kidari cha kwioAnayekupenda hatotaka kukuona unaumia mkwe!! Mkipendana kweli basi mengine yanaflow tu hata ikitokea shida basi mnaitatua vizuri tu. Speaking out of experience.
Kupendana haimaanishi basi mtaishi bila vikwazo,vikwazo vipo ila upendo mlionao utawasaidia katika kutatua tatizo hilo smoothly. Na hapa naongelea upendo wa pande zote.
Hahahaaaa!! Uwiii nimecheka kwa nguvu!!Niwe mkwel toka nmekufahamu kwa mara ya kwanza umeongea point mnooo sjawah kuona busara kama hii mkwe embu unachokunywa agiza mara tatu yake na kidari cha kwio
jaman sina adabu tena wakat nmetoa ya moyon plus complement?Hahahaaaa!! Uwiii nimecheka kwa nguvu!!
Kumbe huna adabu mkwe!
Unajua penye mapenzi ya kweli huwa walaaa hapahitaji juhudi saana, yani unajikuta tu unamtendea mwenzio vile ungependa akutendee na walaa huoni tatizo.Umemaliza kila kitu besti
Hiyo compliment iliyolandana na dongo mkwe[emoji134] [emoji134] [emoji134]jaman sina adabu tena wakat nmetoa ya moyon plus complement?
hvi kumbe kuna kadongo ndan yake basii tuishie umetoa point kat ya zile point zakoHiyo compliment iliyolandana na dongo mkwe[emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hvi kumbe kuna kadongo ndan yake basii tuishie umetoa point kat ya zile point zako
unajua nmerud kundin mkwe so uwe unanvumilia[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sidanganyiki mkwe.
Richard Marx- right here waitingIt happened enzi hzo kijana na u boifrend na u gelofrend nilichoamua nkamuacha kama alivyo i gave her space
Maana nlijua the harder a try to bring her back the more a push her away
After sometimes akaanza kunimiss tena maisha yakaendelea
Umerudi ya kiukwelikweli au ile ya kumdanganya binti yangu?unajua nmerud kundin mkwe so uwe unanvumilia
walaaa nmerud mwili mzima na kila kitu changu no more lies "Truth will set me free"Umerudi ya kiukwelikweli au ile ya kumdanganya binti yangu?
Amen to that.walaaa nmerud mwili mzima na kila kitu changu no more lies "Truth will set me free"
hahahahMkuu acha tu ..unaweza hata kwenda baharini usiku ukakaa tu
Unajua penye mapenzi ya kweli huwa walaaa hapahitaji juhudi saana, yani unajikuta tu unamtendea mwenzio vile ungependa akutendee na walaa huoni tatizo.
That person ambae ukimfikiria unafurahi tu, mtu ambae ukiamka unaposali lazima umjumuishe kwenye sala, baada ya hapo utataka kujua ameamkaje na kumtakia siku njema, jioni utamtafuta kujua siku yake ilikwendaje, tena mnaweza pigiana mkasali pamoja na kutakiana usiku mwema, mkiwa mke na mume ndio rahisi kabisa.
Sasa mahusianao ya hivyo haki huwezi kumwambia mwenzio kauli za ajabu ajabu, na hata ikitokea mmekosana yaani hamtalala bila kumaliza tofauti zenu, true love inanguvu sana.
Zaid ya nguvu hata mkikosanaUnajua penye mapenzi ya kweli huwa walaaa hapahitaji juhudi saana, yani unajikuta tu unamtendea mwenzio vile ungependa akutendee na walaa huoni tatizo.
That person ambae ukimfikiria unafurahi tu, mtu ambae ukiamka unaposali lazima umjumuishe kwenye sala, baada ya hapo utataka kujua ameamkaje na kumtakia siku njema, jioni utamtafuta kujua siku yake ilikwendaje, tena mnaweza pigiana mkasali pamoja na kutakiana usiku mwema, mkiwa mke na mume ndio rahisi kabisa.
Sasa mahusianao ya hivyo haki huwezi kumwambia mwenzio kauli za ajabu ajabu, na hata ikitokea mmekosana yaani hamtalala bila kumaliza tofauti zenu, true love inanguvu sana.