Ikitokea nikawa Rais, cha kwanza nitavunja mkataba wa DP World

Najua kutakua na fidia za kulipa nikivunja huu mkataba, lakini ni bora nilipe fidia kuliko kuona naongoza nchi inayotumikia mkaba wa hovyo kama huu. Kama rais sintokua tayari kupata aibu ya huu mkataba.

Aliaza chifu mangungo sasa chifu hangaya anaturudisha kule kule.

View attachment 2676025
Ndo mana huwezi na hutokuja kuwa Rais. Tumeshajifunza. Hakuna kuwapa urais tena vichaa na washamba
 
Najua kutakua na fidia za kulipa nikivunja huu mkataba, lakini ni bora nilipe fidia kuliko kuona naongoza nchi inayotumikia mkaba wa hovyo kama huu. Kama rais sintokua tayari kupata aibu ya huu mkataba.

Aliaza chifu mangungo sasa chifu hangaya anaturudisha kule kule.

View attachment 2676025

Kojoa ulale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]rafik yang
 
Najua kutakua na fidia za kulipa nikivunja huu mkataba, lakini ni bora nilipe fidia kuliko kuona naongoza nchi inayotumikia mkaba wa hovyo kama huu. Kama rais sintokua tayari kupata aibu ya huu mkataba.

Aliaza chifu mangungo sasa chifu hangaya anaturudisha kule kule.

View attachment 2676025
we hata urais wa nzi huwezi kupata, we ni kwanza ni taahira, bandari inakuhusu nini au imekuwa fashion sasa mjioneshe wazalendo. Nyie ni wanafiki na wakuda. Kima mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom