Ikitokea kuanzishwa wizara ya umbea member gani wa JF anastahili kuwa waziri?

Uta Uta

JF-Expert Member
Feb 2, 2016
3,687
8,600
Habari wana jamvi.
Haya maswala ya ubuyu, aka ushilawadu yanazidi kushamili kwa kasi hapa nchini. Haipiti saa wala dakika ukakosa kuuona ubuyu mitandaoni, hi inaonesha wazi kuwa vijana wamehamasika zaidi na mambo haya ya ubuyu. Je ikitokea wizara hiyoooo ya ubuyu mkali wako ambae unaona ataitendea haki wizara hiyo kutoka hapa hapa jukwaa pendwa la JF, wewe utampendekeza naniiiiii?
:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom