Ikikutokea hii utafanya nini? Na kama imekutokea ulifanya nini?

Aiseh kwel dunian kuna maajabu mi nikigonga demu huwa sirudii tena!
Thats its my principle and i will never marry anyone
 
Pole sana... unasikitisha sana...

Kama amekubali kua na wewe wakati anamwingine, ina maana hata akiachana nae na kua na wewe bado ataendelea kua na wengine, huwezi kua peke yako...


Cc: mahondaw
 
Mkuu we endelea kumla ila ,acha hzo mambo za kudai et umemuelewa, huko n kujilemaza mwenyewe ,yan akili yako hujaitumia vyema ,unaendeshwa na hisia zaidi ambazo kimsingi hazidumu,stay strong mzee baba,me mademu km hao nawapenda kichz coz nakua najipigia tuu bila kuingiza hisia

From profile picture to proper future
 
Back
Top Bottom