Ikikutokea hii utafanya nini? Na kama imekutokea ulifanya nini?


successor

successor

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
2,989
Likes
5,237
Points
280
successor

successor

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2012
2,989 5,237 280
shida iko kwako, ulijua kabisa ana mtu ukakomaa sasa umenogewa

hata akiwa wako huwez kuwa na amani nae 100% we mpotezee mdg mdg
Duh!! Kweli mkuu
 
successor

successor

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
2,989
Likes
5,237
Points
280
successor

successor

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2012
2,989 5,237 280
Mkuu, namjua how you feel.. Nimepita kwenye Kipindi kama chako.

Tena demu alikua ni demu wa mshikaji wangu wa kufa nikufe.. Blood kabisa.. Ila demu akanipa tunda.. Tukalibanjua siku, miezi, mpaka miezi Sita ikafika.

Akarudi kwa msela. Najua unavyofeel Maana mimi nimewahi kuwa sehemu kama ulipo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee.....inaumiza chief.
 
rip faza_nelly

rip faza_nelly

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2018
Messages
1,286
Likes
903
Points
280
rip faza_nelly

rip faza_nelly

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2018
1,286 903 280
Kama alikupa wew akiwa na mshikaji basi na wew haupo peke ako kuna mwwngine ambaye humfaham pia.
uyo dem malaya ata akimmwaga mshkaji wake akawa na wew huko mbele na wew utamwagwa pia au mtakuwa wawili tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
successor

successor

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
2,989
Likes
5,237
Points
280
successor

successor

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2012
2,989 5,237 280
Kama alikupa wew akiwa na mshikaji basi na wew haupo peke ako kuna mwwngine ambaye humfaham pia.
uyo dem malaya ata akimmwaga mshkaji wake akawa na wew huko mbele na wew utamwagwa pia au mtakuwa wawili tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunipa tahadhari
 
K-wire

K-wire

Senior Member
Joined
Dec 6, 2017
Messages
147
Likes
104
Points
60
K-wire

K-wire

Senior Member
Joined Dec 6, 2017
147 104 60
Wewe mshikaji unajipotezea muda bila kujua. Najua unaona ni vigumu kumuacha huyo manzi but nikishauri usimuache Kwanza wewe endelea naye tu huku tafuta demu mwingine . For sure huyo utamdump

Sent using Jamii Forums mobile app
 
recycle Bin

recycle Bin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
207
Likes
147
Points
60
recycle Bin

recycle Bin

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
207 147 60
Hii ishu ilishanitokea lakin mi nlikua upande wa pili(namegewa tunda langu) dah iliniuma sana ila namshukuru Mungu nlifanikiwa kumuacha baada ya kuujua ukweli.... walianza kama marafik mwsho wa siku urafiki ukafikia kuvuana vyupi na jamaa akapenda ad akashindwa kujizuia akantafuta na kunieleza ukweli na picha alizompga alinitumia, inauma sana kujua mtu unaempenda anamkatia mauno mwanaume mwingine, binti hakuwa tayari kuachana nami na alimkanya jamaa asijefanya chochote kunijuza la sivyo atopata kitu na hatimae baada ya mimi kujua, jamaa kaachwa kwa kuvunja ahad

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,034
Members 485,449
Posts 30,112,086