Ikija kugundulika Israel wamehusika hiiiiii

Ikija kugundulika Israel wamehusika hiiiiii

Iran kusaidia Hamas na Hezbollah against Israel tegemeeni mengi sana ya kuwaumiza nyonyo zenu.. Mkiambiwa Mungu wa kweli ni wa Israel muelewe.. katika historia zote hadi Mussa hakuna Mungu aliyeitwa Allah mmedanganywa na Mudy with new God
Fala sana wewe na ukoo wenu wote mmelaaniwa
 
wana bahati sio wao,ni mambo ya Mungu tu...ila wangehusika wangeona cha mtema kuni.

aljazeeraenglish

#Iranian military investigators have so far found no evidence of criminal activity in the helicopter crash that killed President Ebrahim Raisi and seven others, according to state media.⁠
.
Si wakubali tuu kwamba wamechemka. Kiwango cha Akili iliyotumika hapo, bado wahusika au wanaofatilia tukio hilo kutaka kujua kisababishi hawana hicho kiwango.
 
Fala sana wewe na ukoo wenu wote mmelaaniwa
Hizo Laana za Allah hazijawahi kufanya kazi, according to Qoran Allah aliwalaani Wayahudi wageuke Nguruwe na Nyani lakini hakuna myahudi hata mmoja aliyegeuzwa Nyani wala Pig... sasa hapo nani Fala mbona mmeanza kumtukana Allah hahaha Soma Qoran 5:60 ucheke vichekesho vya Allah

Allah Kawalani Jews and Jews Wamekuwa Most powerful Country and wana wini kila kitu dhidi ya watumwa wa Allah...

Allah ni God wa Kutungwa na Mudy he has never existed ni uwestiji of taimu.
 
Nimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua mazito sana.

Ila haya mambo yanafikirisha sana, tokea October 7 mambo yamekua magumu sana, Iran na Israel wamekua wakiwindana sana

Ni juzi tu Israel kapokea kichapo cha moto kutoka Israel wakaja mwanzo wakadai ni 99% intercepted, baadae wakadai ni 87% intercepted baadae wakaja kuthibitisha kuwa kuwa ni 63% intercepted mwisho zikaja kuvuma kuwa ni only 44% intercepted...

Kwa mtiririko wa haya matukio yanatia mashaka kuwa huenda kuna mkono wa wazayuni japo hatuwezi kusema moja kwa moja!! Ila kama itakuja kuonekana Israel ilihusika majibu ya Iran yatakua ni mabaya kupindukia!!
Badooo ayatollaha
 
Iran Wazembe sana wakapandisha Viongozi wakuu dege moja chovu la Kimarekani tena bila Escort Hovyo sana..

Nilisikitika zaidi kwa kifo cha Waziri yule wa Mambo ya Nje...Jamaa alikua na akili sana mwerevu na anajua kuongea sana alipiga sana spana watu wajinga..
 
Escort ilikuwepo chopa 2 na kufanya jumla ya chopa zilizokuwa hewani kuwa 3. Ila iliyopata ajali ndo hiyo moja tu aliyokuwemo Rais na baadhi ya mawaziri.
 
Nimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua mazito sana.

Ila haya mambo yanafikirisha sana, tokea October 7 mambo yamekua magumu sana, Iran na Israel wamekua wakiwindana sana

Ni juzi tu Israel kapokea kichapo cha moto kutoka Israel wakaja mwanzo wakadai ni 99% intercepted, baadae wakadai ni 87% intercepted baadae wakaja kuthibitisha kuwa kuwa ni 63% intercepted mwisho zikaja kuvuma kuwa ni only 44% intercepted...

Kwa mtiririko wa haya matukio yanatia mashaka kuwa huenda kuna mkono wa wazayuni japo hatuwezi kusema moja kwa moja!! Ila kama itakuja kuonekana Israel ilihusika majibu ya Iran yatakua ni mabaya kupindukia!!
Fala kweli wewe mvaa kobazi,Iran atafanya nini ? Amerusha makombora 200 na Drone 400 vyote vimedakwa, hamtaki tu kukubali kwamba Israel ni Taifa la MUNGU?
Iran itafutwa wakati wowote ule
 
Back
Top Bottom