Ikija kugundulika Israel wamehusika hiiiiii

Nimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua mazito sana.

Ila haya mambo yanafikirisha sana, tokea October 7 mambo yamekua magumu sana, Iran na Israel wamekua wakiwindana sana

Ni juzi tu Israel kapokea kichapo cha moto kutoka Israel wakaja mwanzo wakadai ni 99% intercepted, baadae wakadai ni 87% intercepted baadae wakaja kuthibitisha kuwa kuwa ni 63% intercepted mwisho zikaja kuvuma kuwa ni only 44% intercepted...

Kwa mtiririko wa haya matukio yanatia mashaka kuwa huenda kuna mkono wa wazayuni japo hatuwezi kusema moja kwa moja!! Ila kama itakuja kuonekana Israel ilihusika majibu ya Iran yatakua ni mabaya kupindukia!!
iran wanajua ni israel, ila hawana technolojia ya kuthibitisha hilo. manake hata ndege iliyokuja kupiga radar yao ya nukes walisema ni kweli imepigwa ila hawajui imepigwa na nani? yaani hadi radar zao hazikuona kitu.
 
Sio ushabiki tunazuia uongo wa waislam wa JF sijui huwa wanautoa kwa masheikh wao misikitini wanayaleta Jf.. yaani kila nyuzi wakianzosha ni uongo na chuki tu.. yamekuwa hayavumiliki mwanzoni sikiwaelewa Wayahudi why wanawachapa Arabs wasio na hatia nikaja gundua kuwa Israel anachokozwa kila siku na ni wavumilivu ila bubu husema mambo yanapomzidia so wacha awachape tu.. na kumbe Allah ndio alimuambia Nabii Mussa apigane na Arabs hadi kiama asiachie ardhi... so waislam hawasomi Quran sababu ni lugha ya kiarabu hawaelewi
Hapana. Wale wanaoielewa lugha hiyo hao ndo wakorofi kwani wanaitafsiri kivingine kabisa tofauti kwa matakwa binafsi na wanapotosha kile cha ukweli kilichoandikwa humo. Quran tukufu haina shida kabisa.
 
iran wanajua ni israel, ila hawana technolojia ya kuthibitisha hilo. manake hata ndege iliyokuja kupiga radar yao ya nukes walisema ni kweli imepigwa ila hawajui imepigwa na nani? yaani hadi radar zao hazikuona kitu.
Quote "......radar zao hazikuona kitu".
Dah! Kwa nini tusiwe wa-wazi na kusema: Radar zao zilipigwa Upofu - Kama Paulo alivyopigwa upofu (Matendo 9:3-9.) :StockExplosion:
 
Sasa umewekewa vikwazo malighafi zako hazinunuliwi hauuziwi chochote na nchi nyingi itabidi ukomae
Walisemaga eti "If u cannot fight the enemy; then befriend him"
Hayo lakini aliyataka mwenyewe. Huo ndo mshahara wa mtu anayejifanya mbabe. Hakuweza kujifunza kutoka kwa wenzake waliowahi kuwekewa vikwazo. Anaishi dunia ipi huyo?:KEKBye:
 
Nimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua mazito sana.

Ila haya mambo yanafikirisha sana, tokea October 7 mambo yamekua magumu sana, Iran na Israel wamekua wakiwindana sana

Ni juzi tu Israel kapokea kichapo cha moto kutoka Israel wakaja mwanzo wakadai ni 99% intercepted, baadae wakadai ni 87% intercepted baadae wakaja kuthibitisha kuwa kuwa ni 63% intercepted mwisho zikaja kuvuma kuwa ni only 44% intercepted...

Kwa mtiririko wa haya matukio yanatia mashaka kuwa huenda kuna mkono wa wazayuni japo hatuwezi kusema moja kwa moja!! Ila kama itakuja kuonekana Israel ilihusika majibu ya Iran yatakua ni mabaya kupindukia!!
wana bahati sio wao,ni mambo ya Mungu tu...ila wangehusika wangeona cha mtema kuni.

aljazeeraenglish

#Iranian military investigators have so far found no evidence of criminal activity in the helicopter crash that killed President Ebrahim Raisi and seven others, according to state media.⁠
.
 
Toka ndege imepata ajali hadi inapo onekana na waokozi, yalipita masaa Karibu 17, inadaiwa ndege iliwaka Moto, ni rahisi ushahidi kufutwa, rubani aliongea na walinzi kwenye zile ndege nyingine mbili dakika moja kabla ya ajali na kusema kila kitu kipo shwari!!!

Ndege ilipata hitilafu ikagonga mlima na kuripuka huku ndege mbili za walinzi zikiendelea mbele na kufika salama bila kujua lolote!!! Masaa 17 nchi haijui Rais kadondokea wapi, mtakuta ushahidi kweli?
 
Nimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua mazito sana.

Ila haya mambo yanafikirisha sana, tokea October 7 mambo yamekua magumu sana, Iran na Israel wamekua wakiwindana sana

Ni juzi tu Israel kapokea kichapo cha moto kutoka Israel wakaja mwanzo wakadai ni 99% intercepted, baadae wakadai ni 87% intercepted baadae wakaja kuthibitisha kuwa kuwa ni 63% intercepted mwisho zikaja kuvuma kuwa ni only 44% intercepted...

Kwa mtiririko wa haya matukio yanatia mashaka kuwa huenda kuna mkono wa wazayuni japo hatuwezi kusema moja kwa moja!! Ila kama itakuja kuonekana Israel ilihusika majibu ya Iran yatakua ni mabaya kupindukia!!
😀😀😀.. Mkuu mimi nakushauri tu endelea kutafuta tela..
 
Hapana. Wale wanaoielewa lugha hiyo hao ndo wakorofi kwani wanaitafsiri kivingine kabisa tofauti kwa matakwa binafsi na wanapotosha kile cha ukweli kilichoandikwa humo. Quran tukufu haina shida kabisa.
Sio tu kuelewa tu Uislam ndio unavyotaka muumini kuwa Mkorofi... according to Quran and Apostle wao Mudy.. aya zipo full, Uislam hautaki Muislam kuwa na Urafiki na Asiye Muislam labda asiye muislam awe na nguvu au uwezo so anatakiwa atumie kitu kinaitwa Taqiyya mean Uongo kujidai rafiki ila moyoni ni chuki kuu.

Aya imeandika kuwa muislam akiwa anatembea akikutana na myahudi au Mkristo asimsalimie Asalam Aleykum na amsukume kwenye Mtaro, Muislam wa Kike haruhusiwi kumuoa Asiye Muislam, ila wao wanaume wa Kiislam wanaruhusiwa kuoa Wakristo ili uzao wa kiislam uwe mkubwa sababu mtoto akizaliwa anahesabiwa ni Muislam.. uzao mkubwa ni nguvu katika uislam.

Aya inasema Allah ndie anapandikiza chuki between wakristo kwa wakristo na Wayahudi between wayahudi.. tizama hapo kama Allah ni Mungu au ni Iblisi...
 
Quote:
"Aya inasema Allah ndie anapandikiza chuki between wakristo kwa wakristo na Wayahudi between wayahudi.. tizama hapo kama Allah ni Mungu au ni Iblisi..."
Mkuu; Kwa hili 👆 👆 👆 kwa hakika huyo ni Ibilisi katika Uhalisia wake.
 
Kwa sababu hawataki kuishi kama Mataifa Mengine yanavyoishi.. wao wanahusudu Ukorofi, Kunyonga watu na kuwanyima uhuru raia na wasio waia na kibaya wanaingilia hadi nchi zingine ziwe kam wao wanyambilisi
Huo nao ni aina ya Ubeberu.
 
Back
Top Bottom