kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,189
- 24,611
Nimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua mazito sana.
Ila haya mambo yanafikirisha sana, tokea October 7 mambo yamekua magumu sana, Iran na Israel wamekua wakiwindana sana
Ni juzi tu Israel kapokea kichapo cha moto kutoka Israel wakaja mwanzo wakadai ni 99% intercepted, baadae wakadai ni 87% intercepted baadae wakaja kuthibitisha kuwa kuwa ni 63% intercepted mwisho zikaja kuvuma kuwa ni only 44% intercepted...
Kwa mtiririko wa haya matukio yanatia mashaka kuwa huenda kuna mkono wa wazayuni japo hatuwezi kusema moja kwa moja!! Ila kama itakuja kuonekana Israel ilihusika majibu ya Iran yatakua ni mabaya kupindukia!!