Sasa hata israel ikihusika mtaifanya nini hii itaonesha intelijensia ya iran ni poor sana mpaka viongozi wa kubwa wanapukutishwaNimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua mazito sana.
Ila haya mambo yanafikirisha sana, tokea October 7 mambo yamekua magumu sana, Iran na Israel wamekua wakiwindana sana
Ni juzi tu Israel kapokea kichapo cha moto kutoka Israel wakaja mwanzo wakadai ni 99% intercepted, baadae wakadai ni 87% intercepted baadae wakaja kuthibitisha kuwa kuwa ni 63% intercepted mwisho zikaja kuvuma kuwa ni only 44% intercepted...
Kwa mtiririko wa haya matukio yanatia mashaka kuwa huenda kuna mkono wa wazayuni japo hatuwezi kusema moja kwa moja!! Ila kama itakuja kuonekana Israel ilihusika majibu ya Iran yatakua ni mabaya kupindukia!!
Kuna kijiwe fulani msikiti wa karume morogoro leo ntaenda kusikiliza povu la mashehe wakati natafuna karanga huku nawacheka kidizainiWaislamu dizaini kama yako ni wapumbavu sana hujachoka tu kuwakuza hawa watu halafu kila siku unaambulia aibu..😂😂😂
Dah! Umekasirika kwel' kweli. Yes; Huupendi huo mchanganyo-mchanganyo.Issue ikishakuwa imechanganywa na uislam basi uongo utatawala... lini Israel imesema hizo percent? And Hata kama Israel imehusika then what? Israel haogopi Islam, uislam wala Allah both ni kitoweo kwake.. na pia washaanza kusema India ame act on behalf of Israel.. leteni tena fujo next ni Ayatollah
Ni kweli kuna ushabiki tena mwingi tuu; lakini Taarifa ya ajali na kifo ni ya kweli na ni kweli kuna uzembe mkubwa ulifanyika hata kupelekea umauti umfike huyo kiongozi. Yan hata wabongo hatuwezi kumsafirisha Kiongozi wetu mkubwa hivyo katika usafiri mbovu na wenye mashaka (Ndege-chopa ya 1968) na mtengenezaji wake ndiye hasimu wake.Kuna watu mna ushabiki sana kwenye haya mambo.
Yeah! Inafikirisha sana eti nchi yenye midege ya kisasa, usafiri mbadala upo na wataalam wa fani ya hali ya hewa, marubani mahiri, mifumo ya ulinzi wa anga ya kisasa...... lakini wameishia kumpandisha Rais wao kwenye chopa mkweche vile. Si bora hata angetumia bodaboda? au huko hazipo.Ni aibu kwa Rais kupandishwa kwenye ndege mkweche kama ule. Rais wetu SSH wa nchi yetu masikini hatuwezi kumpandisha kwenye scraper kama lile. Wavaa kobazi hawajawahi kuwa na akili.😆🤣
Sio kwamba walipenda wamewekewa vikwazo vya kiuchumi kwahiyo hawana chopper new modelNi aibu kwa Rais kupandishwa kwenye ndege mkweche kama ule. Rais wetu SSH wa nchi yetu masikini hatuwezi kumpandisha kwenye scraper kama lile. Wavaa kobazi hawajawahi kuwa na akili.😆🤣
Si watengeneze yao mkuu, mbona wana mitambo mingi tu ya maangamizi wametengeneza?Sio kwamba walipenda wamewekewa vikwazo vya kiuchumi kwahiyo hawana chopper new model
Ndo shida ya kushindana na westSi watengeneze yao mkuu, mbona wana mitambo mingi tu ya maangamizi wametengeneza?
Afadhali dikteta kafa. Hongera Israel kwa kazi nzuri.
Unawa~Zoom Kama Jiwe VileKuna kijiwe fulani msikiti wa karume morogoro leo ntaenda kusikiliza povu la mashehe wakati natafuna karanga huku nawacheka kidizaini
Watu wamefurahi sana huyu jamaa kudedi
Sawa, kifo ni haki ya kila mtu.
So, acha kibri, Huyo huyo mzayuni anaeuwa watoto/civilians mnamuona mtu wa maana, ila one day kitamkuta na hamtaamini.
Kwa hiyo wakaona kwa busara zao ni bora waende naye hivo-hivo etiee?Sio kwamba walipenda wamewekewa vikwazo vya kiuchumi kwahiyo hawana chopper new model

Soma ulichoandika usiwe unavuta bangi ukiwa una ratiba ya kwenda msikitini.Nimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua mazito sana.
Ila haya mambo yanafikirisha sana, tokea October 7 mambo yamekua magumu sana, Iran na Israel wamekua wakiwindana sana
Ni juzi tu Israel kapokea kichapo cha moto kutoka Israel wakaja mwanzo wakadai ni 99% intercepted, baadae wakadai ni 87% intercepted baadae wakaja kuthibitisha kuwa kuwa ni 63% intercepted mwisho zikaja kuvuma kuwa ni only 44% intercepted...
Kwa mtiririko wa haya matukio yanatia mashaka kuwa huenda kuna mkono wa wazayuni japo hatuwezi kusema moja kwa moja!! Ila kama itakuja kuonekana Israel ilihusika majibu ya Iran yatakua ni mabaya kupindukia!!
Ilimrad umeelewa!Israel akamchapa Israel
Sio ushabiki tunazuia uongo wa waislam wa JF sijui huwa wanautoa kwa masheikh wao misikitini wanayaleta Jf.. yaani kila nyuzi wakianzosha ni uongo na chuki tu.. yamekuwa hayavumiliki mwanzoni sikiwaelewa Wayahudi why wanawachapa Arabs wasio na hatia nikaja gundua kuwa Israel anachokozwa kila siku na ni wavumilivu ila bubu husema mambo yanapomzidia so wacha awachape tu.. na kumbe Allah ndio alimuambia Nabii Mussa apigane na Arabs hadi kiama asiachie ardhi... so waislam hawasomi Quran sababu ni lugha ya kiarabu hawaelewiKuna watu mna ushabiki sana kwenye haya mambo.
Majamaa kumbe dini yao inawataka kutuchukia kwa lazima.. kuitwa kafir kuna chuki nyingi mno zisizo samehekaDah! Umekasirika kwel' kweli. Yes; Huupendi huo mchanganyo-mchanganyo.