Ikarusi Kumbakumba Ndio Hili Hapa

Ikarusi Kumbakumba Ndio Hili Hapa

Kumbe haya mambo yalikuwepo zamani Leo wanachofanya ni Kukopy na kupaste tu hawa jamaa noma sana kumbe wenyewe walitakiwa kuja na yale ya Magorofa ha!ha! Miaka.... Tumethubutu na Tunasonga mbele CCM OYEEEEEEE:A S thumbs_up:
 
Imenikumbusha zama zileee za kipindi kileee
 
Kumbe haya mambo yalikuwepo zamani Leo wanachofanya ni Kukopy na kupaste tu hawa jamaa noma sana kumbe wenyewe walitakiwa kuja na yale ya Magorofa ha!ha! Miaka.... Tumethubutu na Tunasonga mbele CCM OYEEEEEEE:A S thumbs_up:
Kiongozi, mbona hayo ya maghorofa nayo yamepita?
 
kumbe haya mambo yalikuwepo zamani leo wanachofanya ni kukopy na kupaste tu hawa jamaa noma sana kumbe wenyewe walitakiwa kuja na yale ya magorofa ha!ha! Miaka.... Tumethubutu na tunasonga mbele ccm oyeeeeeee:a s thumbs_up:
oyeeeeeeeeeeeeeeee
 
kumbe na wewe umalaza kalenda eh/?

Tuko wengi Mkuu. Nakumbuka Mara nyingi Ikarus zilikuwa zinapangiwa route za Buguruni-Posta, Vingunguti-Posta na U/Ndege. Nazikumbuka Leyland, kuna moja watu waliita Mayasa. Umenikumbusha mbali sana.
 
nasikia lipo moja siku hizi hapa mujini
 
nilikua napenda kusimama sana kwenye ule mduara
 
nakumbuka kuna siku nililia kilugha baada ya kandambili yangu kubanwa na mlango harakati za kuingia
 
Back
Top Bottom