Ijuwe Zanzibar katika picha za kale ~2

Ijuwe Zanzibar katika picha za kale ~2

Bin Faza

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
502
Reaction score
191
Raha ya historia ni kuwa inajieleza yenyewe

cert.jpg

Hii ni shahada ya skuli katika mwaka 1914, Zanzibar

images

Hawa ni katika baadhi ya walioshinda katika uchaguli wa 1963, zanzibar

images

Hii hapa ni serikali huru ya zanzibar iliyotawala 1963 na kupinduliwa 1964, hebu tizama vyema wapo waarabu wangapi hapo????

images

Haya ndio mapinduzi yenyewe 1964

2Q==

hawa ndio walioipinduwa serikali halali ya watu wa wanzibar 1964

images

Hawa ndio waliopinduwa serekali halali ya watu wa zanzibar 1964 ~2

Z

Hawa ndio waliopinduwa serekali halali ya watu wa zanzibar 1964 ~3

images

Hawa ndio waliopinduliwa ~ 1

images

Hawa ndio waliopinduliwa ~2

images

Na baadhi yao wakazikwa hivi

Na hawa wakajaribu kukimbia ili wasiuliwe na wana mapinduzi

images

Lakini safari yao ilikuwa fupi sana na wengine wakaishia hapa

images

Wengine wakazikwa wakiwa hai katika makaburi ya halaiki, mashamba zanzibar. Ipo siku tutayatafuta na kuyafukuwa makaburi yote ya halaiki

images

Matekeo yakawa haya

images

Na anaejaribu kukataa, vijana hawa huletwa mitaani
 
aiseeeeee_waliopindua'serikali halali' ya zanzibar.......mmmmmh
 
Nimependa utawala wa karume kama kweli aliwafukia waarabu wakiwa hai
 
Kazi nzuri sana kuwazikilia mbali, hivi kuwacharaza babu zetu kwa bakora na kuwachukua waswahili utumwani mnaliona sawa tu.Acha wazikwe tena woooooooote.
 
Hivi kwanini hawakuwamaliza Waarabu wote huko visiwani tizama sasa wanavyoleta shida sana.... hii ni Sawa na ile ya Israel aliambiwa aue wafilisti wote kuna wengine akawaona wazuri akawaacha sasa shida haiishi hadi kesho... Laana zingine ni za kujitakia
 
Kitu kinachonifurahisha Zanzibar ni ile vita fupi zaidi Duniani kati wa Wazanzibar na Waingereza ilitumia Dakika 45 tu vita ikaisha na waingereza wakashika Dora
 
Hivi kwanini hawakuwamaliza Waarabu wote huko visiwani tizama sasa wanavyoleta shida sana.... hii ni Sawa na ile ya Israel aliambiwa aue wafilisti wote kuna wengine akawaona wazuri akawaacha sasa shida haiishi hadi kesho... Laana zingine ni za kujitakia

Mshenzi sana wewe kwani na sisi pia hatuna haki za kuishi laana zetu ni nini? Mnatuonea sana tunasema tanzania haina ubaguzi kumbe mnatuchukia kiasi hiki..so sad
 
Mshenzi sana wewe kwani na sisi pia hatuna haki za kuishi laana zetu ni nini? Mnatuonea sana tunasema tanzania haina ubaguzi kumbe mnatuchukia kiasi hiki..so sad

Nyie tokea lini mkatupenda nimeshatuma posa karibu tatu na zote zinakataliwa kwenu sasa mpendejwe?
 
Nyie tokea lini mkatupenda nimeshatuma posa karibu tatu na zote zinakataliwa kwenu sasa mpendejwe?

Haahhahahahahha kumbe hasira za kukatiliwa hutukiwi mana huna utu wala ubinaadamu utatuma mara mia shenzi
 
Basi na nyie zamu yenu mliua sana watu weusi bila huruma... na nani kakuambia utizame!

Haya tumalizeni basi tulobakia mambo ya ubaguzi ni ushamba na yamepitwa na wakati nashangaa unang'ang'ania kwenda zako
 
Haya tumalizeni basi tulobakia mambo ya ubaguzi ni ushamba na yamepitwa na wakati nashangaa unang'ang'ania kwenda zako

Babu yangu pia aliteswa na Waarabu.... nadhani haukuwa Ushamba wakati ule... kazi ya Kuwamaliza anaifanya Marekani kwa Sasa....
 
Atatumalizwa allah aliyetuumba yeye ndie mwenye nguvu hakuna mfano lets see marekani wataishia wapi
Allah hajaumba kitu Mungu ndie Muumbaji..... Allah alishawahi kukiri kuwa kuna Mungu....

According to the Quran Allah is not God الله هو الشيطان

[video]According to the Quran Allah is not God الله هو الشيطان [/video]
 
From Zanzibar Empiror to Zanzibar Municipal, tunataka miaka michache ijayo Zanzibar iwe kama vile Mafia na Ukerewe
 
Back
Top Bottom