Ijumaa

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Wapendwa,
Siku yetu imefika tena.
Tukumbuke njia ya msalaba leo kwani ndio mwisho. Ijumaaa ijayo ni ijumaa kuu.

 
Ungeweka ya mtanzania bhana,mnigeria tutampata wapi?
 
Na hawa watoto hawajui kwaresma?

 
Judgement mapokezi ndio hayo... Kama umevutika tuma mpunga kwenye A/C 01120698025556 The Bank


Wewe manoah wee!
Mbona umecharuka! Kumbe uko mpana kiivi ?
Una hazina ya makitu adimu namna hii!
Ona sasa ushantia ndimu ya kwenda kumtoa YNNAH ofisini akanitendee haki zangu!
Eventhough hiyo "risepsheni" haijafika hata nusu kwa "lirisepsheni" la YNNAH! Yaani weka mbali na watoto!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…