Ijumaa

Ijumaa

Nitakuwa navinjari na demu wangu kwenye nyumba ya wageni.
 
Ningependa kila m2 aseme atakua wapi kesho.

Mimi sijapanga pakwenda. nasubiri kualikwa.

wewe utakua wapi weekend hii?
Wala hatuchekani dia,mie nitakuwa job nikitoka ndio nitajua wapi niende,nitakustua km utakuwa hujapata mwaliko nikupitie lol!
 
Mamito hijambo,habari za wapi Iringa au sinza ? weekend hii utanisamehe kuna totoz moja la Sasatel sales nimelifukuzia muda sasa weekend hii ndio sherehe lol!(Husninyo usisome hapa sawa) weekend ijayo nitakuwa free Vivian chagua sehemu/muda.
 
Mimi nitakuwa club karibu....


UEYquYVYKToAAAAASUVORK5CYII=


Yaani tayari hapo umeshalewa.....................sasa unataka tena kwenda club???!!!.............🙂
 
Hivi nyie hamjaolewa/hamjaoa!! si mtulie nyumbani na waume/wake zenu!!! Loh!!
 
j,mosi nitakuwa cineclub na watoto, j.pi;i kanisani then kupumzika
 
Nitakuwa nyumbani na familia yangu.
 
nitaenda kuwaona lema na binamu yangu christian pale kisongo gerezani.
 
Wikiendi ni muda muafaka wa kutulia na kukaa na familia yako.
 
Back
Top Bottom