vivian leo umeamua kuusemea moyo wangu;
.............. Maisha yakaenda ....... likaja panga la mahusiano.
Hapo hapo job ikanipiga uhamisho dar kutoka mkoa.
............ Maisha yakaenda
Nikaanza kujenga ilipofikia kuhamia in za niu house,
hali ilikuwa mbaya yaani ile ya kukosa sh.100 ya kununua fungu la mchicha.
Ngoja nipumue kwanza najisikia kuzimia.
nipigie plizzz 07132**800
kuna watu wame connect hizo line mbili wakaona fursa.
unavyozeeka ndio unazidi kupendeza mtihili tausi ya mchanga!Ha ha haaa
Nshajizeekea mie;
haaaa hivi Bishanga bado ana ndoto tu??? Huyu jamaa yako anaweza kunywa sumu bure kwa kutaka makubwa asiyo yamudu; Bishanga hana uwezo na hataupata wa kubigana vikumbo na mimi hapo kwa Mamndenyi ndio kabisa wala haninyimi usingizi wangu! Mrisho Ngassa na Christian Ronaldo wanakutana wapi! mimi napiga ligi za dunia hizo za mchangani amtafute sosoliso
hahaha Avemaria namtafuta na Cantalisia pia