Uko wapi dadiito?
Lifikiri ushakalia kiti kirefu nije. Today I need that beer like no one business.
Niko Tegeta Club 71
Amarula tuuu..nna kiu na hamu.
Amarula tuuu..nna kiu na hamu.
Lol...that's the other side of city, ungekuwepo maeneo karibu kama Mwenge , Mlimani, Sinza, Ubungo, Kinoclain....ningelijongea best
Nikipata hiyo Amarula ninywe nikata kiuHehehe...sasa hiyo kiu na hamu vyaondokaje?
Jombaa tegeta ni number nyingine ondoka huku mashenzini
Nikipata hiyo Amarula ninywe nikata kiu
Aaaaaaa saana tu.............chezeya kiu na hamu weweNadhani utakua uliipata Bi Shemeji...
Aaaaaaa saana tu.............chezeya kiu na hamu wewe
HahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaHehehe....we mbayaaaaa (kwa sauti ya Joti)