Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,335 Reaction score 23,951 Aug 11, 2012 #41 vivian said: Inasemekana wewe ndio mimi you have two IDs one vivian and another Mentor. Anyway nimeona unaaga kwenda Moshi. Bado hujaondoka Dadiito. Mimi nipo kama hivi Ijumaa kama kawa. Click to expand... Sijarudi...ila duh..those days ilikuwa mtu mmoja siku hizi umejitenga nami kabisa...na mm nkaona nipate mwingine wa ubani.
vivian said: Inasemekana wewe ndio mimi you have two IDs one vivian and another Mentor. Anyway nimeona unaaga kwenda Moshi. Bado hujaondoka Dadiito. Mimi nipo kama hivi Ijumaa kama kawa. Click to expand... Sijarudi...ila duh..those days ilikuwa mtu mmoja siku hizi umejitenga nami kabisa...na mm nkaona nipate mwingine wa ubani.
JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Aug 11, 2012 #42 vivian said: Another Beautiful Friday. Anyone with an Idea of Places to Visit? Click to expand... vivian mbona watutamanisha hivyo wallah mi nakatiza dozi week end hii inipite tena hivihivi? nyama choma imetulia kwa kachumbariii na tundizi.. na tuJB mambo inakuwa mswano
vivian said: Another Beautiful Friday. Anyone with an Idea of Places to Visit? Click to expand... vivian mbona watutamanisha hivyo wallah mi nakatiza dozi week end hii inipite tena hivihivi? nyama choma imetulia kwa kachumbariii na tundizi.. na tuJB mambo inakuwa mswano