SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 552
- 1,306
Au sio?
Hahahaha[emoji23]Ulaji Huu Na Vita Ya Ukraine vs Russia Tutaweza
We jamaa mlafi sana unawezaje kumaliza msosi huo wote peke yako?. Yaani unakula utadhani unahama dah?!!.
Wamekula mtu tatuWe jamaa mlafi sana unawezaje kumaliza msosi huo wote peke yako?. Yaani unakula utadhani unahama dah?!!.
Ok!!!,Hapo Sawa.Wamekula mtu tatu
Hicho kitambi kwa mbali kinaonekana hapo ni halali yako
Na juice glass 2We jamaa mlafi sana unawezaje kumaliza msosi huo wote peke yako?. Yaani unakula utadhani unahama dah?!!.
[emoji23][emoji23][emoji23]Na juice glass 2