Wapi nitaficha uso wangu kwa aibu unayo nitia?. wewe kila jogoo unaye muona wataka awe wako. Maisha hayaendi hivyo. Vin Diesel ndo nani? Mimi naona tuvunje uhusiano wetu ili uwe huru kuongea, kulala, kutoka na kugawa ua lako kwa yoyote umtamaniye. Umenidhoofisha sana. Mia
CC:
Lady doctor, Baba V, Slave, Passion Lady, Arushaone. Mia
Washindwe na walegee...ukirudi tu we nistue tukalipizie haiwezekan kabisa sawa vivianKaizer wewe yaani umenikumbusha ile story mbaba alitoka chumbani kwa mkewe akadanganya anaenda chooni kumbe anaenda room ya house girl, alipofika kule akamrukia house girl bila hata kuwasha taa. Ila taa inawashwa kumbe mkewe ndio alikua kwenye kile chumba cha house girl.
Leo nipo Mbeya Keizer hapa city pub naona wanaweka ma tent ya promotion ya castle lager yaani si mchezo naangalia majiko yao nyama za mbuzi ngombe kuku wa kienyeji wanameremeta yaani nashindwa hata niagize nini my Dear ila niko lonely sina rafiki hapa. kuna mianaume mikware naona inanikodolea macho uatafikiri wameona kuku kavaa viatu mxyuuuu!!!!
mmmmh kaka angu anampenda
huyu manzi ujue Heaven on earth
hebu tulizana bana,watu hata pilau hatujala
mmeanza mapicha khaaaa!!
​c namuona mkaka anavyokosa ucngizi!!yeye ndio anatakiwa kusema anampenda sio wewe Passion Lady
Cantalisia kumbe na wewe umeona,anautesa moyo wangu huyu
Ameshapata pakupumzikia. cc Cantalisia
duh kaka mkubwa umefika hatua hiyo ya kusema sizitaki mbichi hizi?? think twice meeen! miaWapi nitaficha uso wangu kwa aibu unayo nitia?. wewe kila jogoo unaye muona wataka awe wako. Maisha hayaendi hivyo. Vin Diesel ndo nani? Mimi naona tuvunje uhusiano wetu ili uwe huru kuongea, kulala, kutoka na kugawa ua lako kwa yoyote umtamaniye. Umenidhoofisha sana. Mia
CC:
Lady doctor, Baba V, Slave, Passion Lady, Arushaone. Mia
​sijaona mwenzio ngoja niangaliePassion Lady na Cantalisia nimewatumia Pm mbona hamjibu.
Jamani Mnakumbuka huyu Dada? Enjoy your friday
Passion Lady na Cantalisia nimewatumia Pm mbona hamjibu.
Asante sana. Hilo neno kubwa sana na zito. Nakuthamin sana vivi. Mia
duh kaka mkubwa umefika hatua hiyo ya kusema sizitaki mbichi hizi?? think twice meeen! mia