Ijumaa Njema Jamani

Huyu Heaven on earth ananitia maumivu ya moyo. Haiwezekani mwanamke uwe na wanaume wawili kwa wakati mmoja. Wengine tuna moyo mdogo so tunajiweka pembeni kuepusha msongamano. Mia
figganigga swaiba, usifanye ivo ebu ona anavoongea kwa upole na moyo wa upendo ebu muite chemba myamalize naona Heaven on earth anahitaji huruma yako hapa lol.
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo ni sawa kwa mwanaume kuwa na wanawake wawili.........,babe babe kwanini lakin

Wapi nitaficha uso wangu kwa aibu unayo nitia?. wewe kila jogoo unaye muona wataka awe wako. Maisha hayaendi hivyo. Vin Diesel ndo nani? Mimi naona tuvunje uhusiano wetu ili uwe huru kuongea, kulala, kutoka na kugawa ua lako kwa yoyote umtamaniye. Umenidhoofisha sana. Mia
CC:
Lady doctor, Baba V, Slave, Passion Lady, Arushaone. Mia
 
Last edited by a moderator:
vivian long time no see afu nakuchanganya na Nivea sema wewe sredi zako hadi ijumaa ndo tunaziona;;hebu toa location leo biya wapi?
 
Last edited by a moderator:
vivian long time no see afu nakuchanganya na Nivea sema wewe sredi zako hadi ijumaa ndo tunaziona;;hebu toa location leo biya wapi?
Kaizer wewe yaani umenikumbusha ile story mbaba alitoka chumbani kwa mkewe akadanganya anaenda chooni kumbe anaenda room ya house girl, alipofika kule akamrukia house girl bila hata kuwasha taa. Ila taa inawashwa kumbe mkewe ndio alikua kwenye kile chumba cha house girl.

Leo nipo Mbeya Keizer hapa city pub naona wanaweka ma tent ya promotion ya castle lager yaani si mchezo naangalia majiko yao nyama za mbuzi ngombe kuku wa kienyeji wanameremeta yaani nashindwa hata niagize nini my Dear ila niko lonely sina rafiki hapa. kuna mianaume mikware naona inanikodolea macho uatafikiri wameona kuku kavaa viatu mxyuuuu!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…