hiyo karoti na hizo nyanya mbili hapo kifuani zimekaa kidushe dushe na hazifai kuonwa na watoto. Nawataka Basata watoe tamko!kweli umewaza sana
Kabisa mkuu. Kuna vitu vingine vinasumbua ubongo.kweli umewaza sana
Kama haikuhusu we kula tu.Jamani kwa nini haturuhusiwi kula nyama leo?
Mbona misibani wanakula nyama sana? Naomba msaada/ kueleweshwa vema.
khaaaa watu wapanahiyo karoti na hizo nyanya mbili hapo kifuani zimekaa kidushe dushe na hazifai kuonwa na watoto. Nawataka Basata watoe tamko!