Ijumaa Kareem

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,571
2,068
Assalam alaykum Warahmatullah Wabarakatu. Rehma na amani ziwashukie wana JF wote pamoja na Watanzania kwa jumla.
 
Ijumaa njema kwa wote waliofunga na wale ambao hawakufunga kutokana na matatizo mbalimbali. Allah aturehemu sote na atuepushe na mashetani na adhabu ya moto.Aaamin.
 
Assalam alaykum Warahmatullah Wabarakatu. Rehma na amani ziwashukie wana JF wote pamoja na Watanzania kwa jumla.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
waaleykum salaam warhamatulahi wabarakatu! Ijumaa kariim pia ww.
 
Duh ngoja nisepe manake hapa nimetoka kapa......

Ijumaa na mfungo mwema kwa watani zangu.
 
waleykum salaam wallahmatullah wabalakat, Rehma na Aman ziwe juu yetu waislam wote, na shukuran zote anastahili Allah S.A. na Mjumbe wake Mtume Mohammad S.A.W. Amiin
 
Back
Top Bottom