Ijumaa Kareem, karibuni Kitoweo pendwa!

Status
Not open for further replies.
hivi jamani utani wa kidini unaruhusiwa? hili tangazo si ungeweka jumapili au linahusika na wale watu wa ijumaaa
 
hivi jamani utani wa kidini unaruhusiwa? hili tangazo si ungeweka jumapili au linahusika na wale watu wa ijumaaa

Hamna udini hapo mkuu, usije ukawapandisha mori bure! Ila na wao ni watumiaji wazuri tu japo kwa kujificha! Hapo nimewatakia weekend njema inayoanzia ijumaa then nikawakaribisha kitoweo! Hakuna udini, mkuu!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…