Ijumaa hii ni Balaa- No Money

Mh!! ngoja nitaku PM. Zamazamani.

Halafu hiyo kodi ya laki saba hamia nyumba ya laki tatu na nusu the remaining amount jenga msingi kwenye kile kiwanja chako
Ahsante vivi ila mtihani wangu ulikuwa hivi;; nilimaliza kujenga mwaka jana June,akatokea mtu hela inamuwasha akaipangisha ilivyoisha tu ,akalipa hela nzuri kwa miaka miwili ,nilikuwa na njaa sikuiacha...nikaanza tena msingi mwingine.....
 
Amyner wantash ndio wapi shosti.

Mie nipo home.

Ukifika kinondoni manyanya just look your right utaona hiyo nyumba hapo chini



Manyanya??? Labda maviazi ndio iko hii lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…