Ijue vizuri kozi ya architecture

Ijue vizuri kozi ya architecture

ufalmedigital

Member
Joined
Apr 24, 2025
Posts
29
Reaction score
37
Architecture ni taaluma ya kusanifu, kuchora na kusimamia ujenzi wa majengo mbalimbali kama nyumba, maofisi, shule, hospitali, misikiti, makanisa, n.k. Mwanafunzi wa kozi hii anafundishwa jinsi ya kubuni majengo kwa kuzingatia matumizi, uzuri, uimara, usalama na mazingira.
2. MUDA WA KOZI

Kozi ya Bachelor's in Architecture huchukua miaka 5 nchini Tanzania.

Kozi ya Master’s in Architecture huchukua kati ya miaka 1.5 hadi 2.

Baada ya kuhitimu, unahitaji kufanya practical training ya mwaka 1 kabla ya kupata usajili rasmi kutoka Bodi ya Usanifu Majengo (AQRB – Architects & Quantity Surveyors Registration Board).

3. MASOMO UNAYOSOMA

Masomo ya Architecture yanahusisha:

Architectural Design

Building Construction

Building Materials

Environmental Studies

Structural Systems

History of Architecture

Computer-Aided Design (AutoCAD, Revit, SketchUp, ArchiCAD)

Project Management

Urban Planning

Pia kuna field training na miradi mikubwa ya kuchora (design studio) kila mwaka.
4. VITU VINAVYOHITAJIKA

Uwezo wa kuchora na ubunifu

see more info at ChuoSmart | KOZI YA SIKU: Architecture
 
Back
Top Bottom