Kumbe 'CV`zilianza zamani!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
3,897
5,354
1Samwel 17.Daudi akamwambia Sauli,Asizimie moyo mtu yoyote kwa ajili ya huyu(Goliathi),`Mimi mtumishi wako nitakwenda kupigana na mfilisti huyu.Sauli akamwambia Daudi, Huwezi wewe kumwendea mfilisti huyu upigane naye,Maana wewe u kijana tu,Nahuyu ni mtu wa vita tangu ujana wake(cv).Daudi akamwambia Sauli,mtumishi wako alikuwa akichunga kondoo za baba yake,na alipokuwa akija Simba,au dubu,akamkamata mwana-kondoo wa lile kundi,mimi hutoka nikamfuata,nikampiga,nikampokonya kinywani mwake;na(cv) akinirukia;humshika ndevu zake(cv)nikampiga(cv),nikamuua(cv).Mtumishi wako alimuua simba na dubu pia;na huyu mfilisti asiyetahiriwa(cv)atakuwa kama mmoja wao,kwa sababu amewatukana majeshi ya Mungu aliye hai.Mnaweza kuendelea kusoma yote mwanzo mwisho.Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom