Ijue nyota yako...katika simu yako.

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Hello JF members!
Na wale wasomaji !
Kuna uzushi mwingi hasa katika hii tasnia ya Utabiri...mara hivi mara vile!
Sijui shaka zao ni nini? Kuliko kuponda usichokijua bora ukae kimya bana!!
 
Mtandao wowote hapa TZ.Andika neno MAALIM acha nafasi MSHALE tuma kwenda 15771. Ondoa neno mshale andika nyota yako. Utaipata huduma hii kila utapotuma msg.
 
Hivi bado kuna watu wanaamini haya mambo? Haya bana watakutumia, be ya SMS ni Sh. ngapi?
 
wapo wengi Rich!
Tatizo nlioligundua ni vile wataalam wake hawataki kuwa wakweli.
Ndicho kinapelekea kutoamini na kufuatilia. Hata wewe anza utaamini na utaendelea kunifuatilia kwenye topics zangu!
 
Pia unaweza tazama Gazeti la Mwananchi uk wa Nyota kila siku za wiki.
Ukitazama EATV (CHANNEL 5) katika kipindi cha Friday Night Live(FNL) nakuepo kila ijumaa ya mwisho wa mwezi.Huelezea machache hasa matukio ya kila Nyota kwa mwezi.
 
Tangu sheikh Yahya atupige changa la macho,profession hii nimeiweka kapuni. Lets try to live according to nature,truth shall tell.
 
Gsana!
Umenfurahisha kweli kweli.
Naelezea fact ya hiyo ilm...siwezi elezea mtu aliekubabaisha. Hebu fikiria pale!......(MNH) madudu yanayofanywa na baadhi ya madaktari...kwa mtazamo wako utatushauri tusiende pale kupata huduma?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom