Sababu ni nini?
Hata mimi
Au kwa sababu inafanana jina na bombadia ya mzee jiwe
yani nikiongea kitu na cambodia imo[emoji3].Hata mimi
au kwa sababu inafanana jina na bombadia ya mzee jiwe
Yani Kama mimi, daah tuoane kwasababu tunaoana.yani nikiongea kitu na cambodia imo[emoji3].
mfano;
" Hio nguo haikupendezi hata ungeenda kununua cambodia bado mambo yale yale"
"umri ukikutupa mkono utatafuta ndoa hata uende cambodia hupati"
yani imenikaa hio cambodia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi siamini...Hadi kwa wavaa makobazi kwenye vita kuna McDonald's??#14 siamini
Nchi ambazo hamna huduma ya Macdonald's dunia nzima ni tatu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mbona sisi waafrica siyo tamaduni yetu hiyo dini...Kathmandu -Nepal
Phnom penh - Cambodia
Ndio sehemu nazotamni sana kufika
Reason. Budhism, natamani kua budha