Ijue mitego 3 ya kichawi

Hakika kwa Yesu ni raha ,Roho mtakatifu ambae hutufunulia yote hajawahi kutuacha tuangamie!

Mi siku moja usiku wa sa saba nikiwa najiandaa kuomba nilale,ile kuangalia chini nikaona sisimizi wengi sn isivyo kawaida,nikasema hebu nisogelee ilikuwa karibu na box ,kuvuta box hivi nikanyanyua kiatu nikamuona nyoka!
ndani chumbani!
Nikamwangalia ,nikasema moyoni huyu sio nyoka wa kawaida ,nikamuua vzr sn!
Na nilijua hakua nyoka wa kawaida na nilimsemesha ,kawaambie waliokutuma hawaniwezi!

Baada ya wiki 2 ,nikapigiw cm na mtu mmoja tunafahamiana vzr, ni mwanaume,baada ya kunisalimia, from no whr akaniambia walitaka kwenda kwa mganga wakashindwa
( huo mshangao yy sikumuonyesha)....nikamjibu mlitaka kwenda au mlienda mkachemka?! Mganga aliwaambia nn,mliniona kwny rada zenu?....akashindwa kujibu!

Nikamuuliza ,ss mlienda ili mnifanye nn,akanijibu ili afanikishe suala fulani,ni rafiki kipenzi wa ex wangu!
Kumbe wameenda mganga kafanya yake lkn wakachemka ,wananiogopa vby mno!

Achana na damu ya Yesu ,fanya mchezo na kingine ila sio hiyo damu hatari kuliko hatari yenyewe!
 
Na hawa mijusi unakuta wanazunguka ndani ya ukutani au darini usiku nini shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…