Ijue mitego 3 ya kichawi

Wacha kupotosha watu we Mzizimkavu.
Hakuna Kiumbe mwenye uwezo wa KUFUNGA RIZKI YA MWENZAKE wala Hakuna Kiumbe ana UWEZO WA KUTOA ROHO YA MTU bila Hukumu ya MUNGU MKUU.

Hivi huoni kama hizi Ni KUFURU ZA WAZI KABISA Unafundisha watu hapa?

Hii Tamaa ya Dunia itakupeleka Pabaya Ndugu yangu. Hizi senti za mpito Km Mungu amekuandikia Utazipata tu.
Mungu anawapa Utajiri Mpk Makafiri na wauwaji itakuwa wewe na Mimi?

Acha tabia hii kaka. MUOGOPE MUNGU WAKO.
 
Duuu io namba 2 uchaw wa nyoka ulimkumba babu yangu kaua nyoka chumban kwake ndo ikawa mwsho wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…