Ijue mitego 3 ya kichawi

kuna ukweli ..mimi ni mzaliwa wa kigoma...baba yangu mzazi aliwahi nionya akaniambia nisimpe mtu sarafu akiniomba nimpe noti kama sina noti basi nisimpe....cku moja akanijia mdada akionekana ana sura ya shida kabisa akaniomba nimsaidie sh. 200 ..m nikampa sh 500 ya noti...ajabu yule dada akakataa akasema ana shida ya 200 tu....nikakumbuka onyo nililopewa na mzazi...cjui ningekuaje leo
 
ungempa hiyo jero alafu ukamwambia akatafute chenji....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…