Ijue Mikoa 10 ya Tanzania yenye Uchumi Mkubwa na Iliyoendelea zaidi

Hiyo ni mada nyingine.That one makes sense just for the living standard of the individuals but not the Importance of the particular Region in National GDP.
Pia naomba kukuuliza,kwa uzoefu wako unazani ni mikoa ipi mizuri kiutaftaji,yani yenye fursa mbalimbali hapa tz?
 
Ofisi ya Taifa ya Takwimu Imetoa data zinazoonyesha Ukubwa wa Uchumi Kwa Kila mkoa Kwa Tanzania Bara Kwa mwaka 2022.

NBS imechapisha kitabu Cha Hali ya Uchumi wa Taifa mwaka yaani Tanzania in Figures 2022 zinazoonesha Ukubwa wa Uchumi wa Kila Mkoa(Regional GDP) na jinsi unavyochangia kwenye Pato la Taifa (GDP) Kwa Mikoa yote 26 ya Bara.

Orodha ifuatayo inaonesha Mikoa 10 yenye Uchumi na Maendelea zaidi kushinda Mingine( Regional GDP at Current Market Prices )

1. Dar es salaam =29.029

2. Mwanza =12.214

3. Mbeya =9.504

4. Morogoro=8.148

5. Arusha=8.000

6. Tanga=7.920

7. Geita=7.710

8. Kilimanjaro=7.585

9. Ruvuma=6.393

10. Tabora=6.284

Credit :NBS,Tanzania in Figures 2022.
(Figures are in Tanzania Trilioni Shillings).

My Take
-Kama Mkoa wako haupo hapo basi ujue uko sehemu ya maskini.
-Tanga inaenda kuipita Arusha na Morogoro
-Mbeya mbioni kufikia transactions za Trilioni 10 Kwa mara ya kwanza.
Cc Kitombile laizerg Mikdde Quality Control Accumen Mo instanbul The Great Haya
View attachment 2707223
😄 🤣 😂 😆 ChoiceVariable wapi Dodoma?
 
😄 🤣 😂 😆 ChoiceVariable wapi Dodoma?
Dodoma ilitelekezwa miaka Mingi,unategemea miujiza ndani ya miaka 5 iliyopita? Subiria assessment baada ya miaka 10,Kwa Sasa GDP yake ni 5.3 na Mwaka 2023 inaweza fika 6 so kabla ya 2030 itakuwepo top 10.

Tabora, Kilimanjaro,Geita,Tanga na Ruvuma itapitwa fasta tuu na Dom.
 




Top ten ya Mikoa inayoongoza kuchangia pato la Taifa​

Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Moja kwa moja kwenye mada,Kila mkoa na wananchi wake wanachangia sana kukuza uchumi wa Nchi na pato lao,lakini Ifuatayo ni Mikoa 10 ya wachapa kazi inayoongoza kuchangia pato la Taifa "GDP" zaidi kuliko Mikoa mingine.Ni muhimu kuibainisha na kuitambua ili kuipa credit stahiki.(Regions with the Largest Shares of GDP 2019), Figures in Million TZS.

1. Dar es Salaam = 23,896,520 (17.1%)

2. Mwanza = 10,285,442 (7.4%)

3. Mbeya = 7,849,917 (5.6%)

4. Shinyanga incl.Simiyu = 7,175,982 (5.1%)

5. Morogoro = 6,716,296 (4.8%)

6. Arusha = 6,562,356 (4.7%)

7. Tanga = 6,548,355 (4.7%)

8. Kilimanjaro = 6,298,586 (4.5%)

9. Geita = 6,211,376 (4.4%)

10. Ruvuma = 5,317,073 (3.8
 
Kilimanjaro kelele nyiingi
Huioni top 10? Licha ya kuwa kamkoa kadgo sana lakin tangu uhuru haijawahi kukosekana top 10
Na hapa ni upande WA GDP kimkoa,tukija upande WA per Capital income (individual) Kilimanjaro ni namba 2 baada ya dar(Yani mwananchi mmoja mmoja kuwa na kipato kikubwa)
 
Yaani Arusha imepitwa na Morogoro..mbwembwe zote zakitalii.
Alafu wapi mkoa wa Pwani pamoja na maviwanda yote yale...
 
Back
Top Bottom