Ijue kwanza nyumba yako!

Ijue kwanza nyumba yako!

Naam!, ijue kwanza nyumba yako kabla haujaijenga!

Ukiijua vizuri nyumba yako kabla haujaijenga utapigwa sana na utamaliza hiyo nyumba umechoka sana!

Mkuu, haya maelezo mbona yanakinzana na lengo kuu la uzi!??

Sasa kuna haja gani ya kuijua nyumba yangu, wakati nikiijua ntapigwa hadi nichakae!??
 
NENO DHARAU NI KWELI HAUJAANDIKA ILA ANGALIA MANENO YAKO YANA UKAKASI KUWAHUSU MAFUNDI

nimejaribu pia kuwasiliana na mafundi kadhaa ila nimegundua vichwani ni weupe kama uwele!

Ukitegemea akili zao binafsi utatumia gharama kubwa sana zisizokuwa na manufaa!

Utakuwa wewe ni fundi maiko sio kwa makasiriko hayo mkuu [emoji28]
 
Utakuwa wewe ni fundi maiko sio kwa makasiriko hayo mkuu [emoji28]
Mimi wala sio fundi mkuu, ila kama una fundi anayejua kazi yake vizuri na sio mbabaishaji wanachofanya wenzako ni kumuuliza fundi kwa nini hapa unafanya hivi au unaonaje tukifanya hivi halafu unamsikiliza fundi akitoa sababu au ushauri wa kiufundi
 
Unachokitafuta utakipata, sometime wataalam waache kuwa wataalam ukiminimize sana budget utajuwa hujui
Ukiwaamini sana wataalamu utajikuta unajenga kwa gharama sana
 
Back
Top Bottom