Ijue Kilombero na fursa zake

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
UTALII UTALII NA UWEKEZAJI- KILOMBERO.

1. Fursa mbalimbali za Uwekezaji katika Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro.

2. Kilombero inafikika kwa njia zote, Train, Barabara, ndege etc.

3. Ni 430km kutoka Dsm, ni 230km kutoka Mjini Morogoro, ni 110km kutoka Mikumi.

Fursa za Utalii Kilombero ni nyingi sana

1. Udzungwa Mountain Falls National Park Kuna Ndege na Vipepeo wasiopatikana Pengine popote Duniani.

2. Mwl. Nyerere National Park.Wanya wote wakubwa.

3. Kihansi Dam (Power) na Vyura Wanaozaa.

4. Bonde Oevu la Mto Kilombero pamoja na Mto Kilombero.Daraja refu la Mto Kilombero

5. Mto Ruaha Mkuu

6. Bwawa la Kuzalisha Umeme Kidatu.

8. Fursa za kilimo cha Miwa, na uwepo wa Viwanda vya Sukari Kilombero Sugar

9. Kilimo cha Mpunga na Chuo cha Kilimo Katrini utapata Mbegu bora za Mpunga.

10. Eneo la wazi la Uwindaji wa Kitalii (Mito ya Mnyera na Rhuhuji) Wanyama aina ya Simba, Chui, Nyati, Tembo, Pofu,Kiboko, Mamba, Sheshe.

11. Uvuvi wa Burudani Samaki aina ya Njege (Tiger Fish) katika Mto Mnyera.

12. Mapomoko ya Maji Kifuka,Sanje na Udzungwa

13. Mabwawa ya Asili ya Mbalafu na Wisesa.

14. Bwawa la Mbalali

USSR
 
One, two, three
Turn it up

Big wheels keep on turnin'
Carry me home to see my kin
Singin' songs about the east-land
I miss Kilombero once again and I think it's a sin, yes
Well I heard Mr. USSR sing about her
Well I heard ol' kifinga put her down
Well I hope USSR will remember
A eastern man don't need him around anyhow

Sweet home Kilombero
Where the skies are so blue
Sweet home Kilombero
Kanu I'm comin' home to you


c&p&e
 
One, two, three
Turn it up

Big wheels keep on turnin'
Carry me home to see my kin
Singin' songs about the east-land
I miss Kilombero once again and I think it's a sin, yes
Well I heard Mr. USSR sing about her
Well I heard ol' kifinga put her down
Well I hope USSR will remember
A eastern man don't need him around anyhow

Sweet home Kilombero
Where the skies are so blue
Sweet home Kilombero
Kanu I'm comin' home to you


c&p&e
Vip gharama za maisha hapo kilombero hasa bei ya kupanga nyumba na shule nzuri kwa mtoto wa primary
 
Back
Top Bottom