Ijue historia ya kiduku Tanzania!

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
466
125
Wengi wanapenda kucheza au kuona wengine wakicheza KIDUKU! Lakini wengi wao hawafahamu asili na chimbuko la kiduku hapa Tanzania!
Kwa kifupi ni kwamba ASILI YA KIDUKU NI NIGERIA! kiduku ni aina fulani ya ngoma inayochezwa nchini Nigeria, hivyo kiduku kimefika Tanzania kupitia filamu za kinigeria!
Filamu ya 'Ola' ilyotoka mwaka 2006 ndo kichochezi halisi cha style ya kiduku nchini kwani baada ya filamu ya Ola kusambaa nchini Tanzania ndipo kiduku kilipoibuka na kuenea nchini Tanzania!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom