Ijue benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania [TADB]

Ijue benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania [TADB]

Shida ya hii bank ni mashart kwanza wanahitaji mkulima ambae tayari kasimama kwa miguu yake
Nimepata kuwatembelea kwenye tawi lao wakaniambia kama nalima chini ya heka 50 yani hector 20 nakuwa sija qualify kuitwa mkulima unless tukae kwenye kikundi kisajiliwe na kiwe na mwongozo au katiba

Lkn pia kama nalima kwanzia hector 20 au heka 50 napswa kuwa na bank statement inayo onesha mauzo ya mazao ya msim ulio pita na masoko yangu makubwa niliko uza

Binafs nilikwama na hayo ni machache tu
Wajinga Sana hawa jamaa. Kuna kipindi niliwasiliana nao wakaniambia niende kwenye ofisi zao, nilipifika nikakuta kuna watu wengine wenye shida kama yangu. Tulipofika wakatuambia tuache namba za simu tutapigiwa. Nilikaa zaidi ya mwezi sipigiwi, nikaenda kulalamika twitter kwenye page yao ndio nikapigiwa.

Japo nilikuwa nimelima heka kama mia na ushee lakini mashart yao yalinishinda nikaamua kuacha
 
Barua pepe, Anuani ya posta, Namba zao za mawasiliano, Makao makuu yao, Mwaka rasmi wa ufunguzi/uanzaji,
Matawi yao mikoani.

Naomba, kuwasilisha!.
 
Back
Top Bottom