Ijengwe Bara Bara Mpya Kuukwepa Mji Wa Mbeya

Ijengwe Bara Bara Mpya Kuukwepa Mji Wa Mbeya

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,557
Eti usiku tena Noah imeangukiwa na kontena na kuua watano, Wanasema sababu kubwa za ajali hizi mbeya ni ushirikina basi njia ya rahisi hapa ni kujengwa njia zitakazopita nje kabisa ya mji. Diversion ikiwezekana ianzie hata mpaka wa mbeya na iringa ili sasa mbeya ziingie bodaboda, bajaji na toyo na ule usafiri wa punda urejeshwe huko.
 
Ulimwengu wa roho hauna mipaka.
Hata ukiweka barabara ikapita Songwe huko, watakufuata tu.
 
Si mchezo kuna ndugu yetu na family yake nzima amekimbia nyumba aliyoijenga mbeya mjini kwa visa vya kishirikina yupo hapa Dar sasa mwaka wa nne sasa
 
Upeleke Barabara Mbali Kwa Makosa Ya Kibinadamu?
 
STOP RACISM!
IMG_20180706_153210_050.jpg
 
Mbeya barabara hamna,wangejitahid hata kutengeneza barabara za michepuko,hasa kuanzia uyole mpaka mbaliz!
 
Upeleke Barabara Mbali Kwa Makosa Ya Kibinadamu?
Kumbuka matukio ya moto mbeya masoko yameungua pale si mara moja kuna watu wa serikali wakaenda ku tathmini ajali za moto walipotaka kuruka na ndege warudi dar ndege ikaanguka airport na kuwaka moto
Bado utasema makosa ya kibinadamu?
 
Ijengwe bypass iwe dual carriageways. Na climbing lane ziwekwe,Iringa Mbeya nyingi ni za enzi za Mkapa kama sio Mwinyi kabisa.
 
Back
Top Bottom